Wednesday, March 10, 2010

habari
Mdau mkuu wa Libeneke la Globu ya Jamii
THIS BLOG IS PROUDLY SPONSORED BY VODACOM, TANZANIA'S LEADING CELLULAR NETWORK. | NDOVU SPECIAL MALT - BEYOND THE ORDINARY - NATURALLY" Karibu katika hii Globu ya jamii. Una karibishwa kutoa maoni yako yoyote yatakayo jenga taifa letu. Nawasihi kila mmoja wetu ajiheshimu kwa kutumia lugha zisizochafua hali ya hewa. Yaliyomo humu hayahusiani kwa vyovyote vile na hariri za magazeti ya Daily News, HabariLeo na Sunday News. Maoni yanayotolewa na wasomaji si ya GLOBU YA JAMII, ni ya mtoa maoni isipokuwa pale itavyoelezwa vinginevyo. Akhsanteni sana na tuendeleze Libeneke.
Wednesday, March 10, 2010
gemu la pazi na don bosco yazimwa kwa umeme
MECHI YA LIGI YA MPIRA WA KIKAPU MKOA WA DAR ES SALAM AMBAYO ILIFANYIKA UWANJA WA NDANI WA TAIFA JIJINI JUMAPILI TAREHE 7 MACHI, ILISHINDWA KUMALIZIKA KUTOKANA NA KUKATIKA KWA UMEME. MECHI HIYO ILIYOWAKUTANISHA KATI YA SAVIO (DON BOSCO) NA PAZI ILIJIKUTA IKIISHIA DAK YA 2 YA QUARTER YA MWISHO HUKU SAVIO KUPITIA KWA WASHAMBULIAJI WAKE JIJE MAKANI, ENULE, GEORGE TARIMO NA MOHAMED YUSUPH WAKIONGOZA KWA POINTI 55 DHIDI YA POINTI 38 ZA PAZI AMBAO WAFUNGAJI WAKE WALIONGOZWA NA ADAM JEGAME

MECHI HII SASA ITARUDIWA JUMAPILI YA TAREHE 14 MACHI KWENYE UWANJA HUO SAA TISA MCHANA. uWANJA ULIJAA MASHABIKI NA MECHI ILIKUA YA KUVUTIA SANA IKIZINGATIWA MICHUANO HIYO HAIKUWA NA MDHAMINI HATA MMOJA

MDAU WA KIKAPU

Pazi team

Don Bosco
mashabiki
mashabiki

husband store
A store that sells husbands has just opened in New York
City , where a woman may go to choose a husband.
Among the instructions at the entrance is a description of
how the store operates:

You may visit the store ONLY ONCE!

There are six floors and the attributes of the men increase
as the shopper ascends the flights. There is, however, a
catch. You may choose any man from a particular floor, or
you may choose to go up a floor, but you cannot go back down
except to exit the building!

So, a woman goes to the Husband Store to find a husband. On
the first floor the sign on the door reads:
Floor 1 - These men have jobs and love the Lord.

The second floor sign reads:
Floor 2 - These men have jobs, love the Lord, and love
kids.

The third floor sign reads:

Floor 3 - These men
have jobs, love the Lord, love kids, and are extremely
good looking.
'Wow,' she thinks, but feels compelled to keep
going. She goes to the fourth floor and sign reads:
Floor 4 - These men have jobs, love the Lord, love kids,
are drop-dead good looking and help with the housework.

'Oh, mercy me!' she exclaims, 'I can hardly
stand it!' Still, she goes to the fifth floor and sign
reads: Floor 5 - These men have jobs, love the Lord, love kids,
are drop-dead gorgeous, help with the housework, and have a
strong romantic streak.

She is so tempted to stay, but she goes to the sixth floor
and the sign reads: Floor 6 - You are visitor 4,363,012 to this floor. There
are no men on this floor.
This floor exists solely as proof
that women are impossible to please.
Thank you for shopping
at the Husband Store... Watch your step as you exit the
building, and have a nice day!
 
©jsqure.com| Wednesday, March 10, 2010
Sheikh Mkuu wa Misri Dr Muhammad Sayyed Tantawyi Afariki Dunia

Sheikh Mkuu wa Tanzania Sheikh I ssa Shaabani Simba (shoto) akiwa katika picha ya pamoja na Sheikh Mkuu wa Misri (Sheikhul-Azhar v-GRAND SHEIKH OF AL-AZHAR - Pr,) Dr Muhammad Sayyed Tantawyi katika Ofisi zake za Masheikhatul-Azhar zilizopo mji wa Darassa mwezi jana.
Habari zinasema Dr. Tantawyi amefariki dunia huko Misri. Habari zaidi zitafuata kadri zitavyotufikia.
Sheikh Mkuu wa Tanzania alikuwa nchini Misri kuhudhuria Mkutano Mkuu wa 22 (The 22nd General Conference. Under the Title The Objectives of Shariah(Islamic Law)And Issues of the Contemporary Age.
 
©jsqure.com| Wednesday, March 10, 2010
sanaa pub back in action!

Nothing can be as soothing and enjoyable as a place which can offer you tasty cool drinks, good collection of music, relaxing atmosphere and some fun and friendly people around and you name it....
SANAA PUB
(@Nyumba ya Sanaa, Dar)
is the Place to be!!!
Every Friday & Saturday
http://www.facebook.com/pages/SANAA-PUB/333840703485
 
© jsqure.com | Wednesday, March 10, 2010
hali ya barabara kigoma
kukosekana kwa diversion road kunalazimu ungojee jamaa wamalize shughuli ndiyo ukatishe
daladala likiwa limenasa barabara ya Mwandiga, Kigoma

Udongo mfinyanzi ukinyeshewa mvua inakuwa balaa kwa magari

Usafiri si wa uhakika sana kwa sasa

Na Ripota wetu, Kigoma.
Ankal niko Kigoma kama ulivyonituma, na mambo huku ni pouwa tu kwani mvua zinanyesha na tunatarajia mavuno. Upande wa shoto kwenye hilo la mvua wadau wanapata shida sana kwani ardhi ya huku ni utelezi sana na miundombinu ni ya kusuasua kwa maeneo mengi.

Kimsingi serikali inajitahidi sana lakini aina ya udongo wa huku hata kama barabara ikitengenezwa vizuri vipi, kama siyo lami basi mvua kidogo tu inaweza kusababisha watu wengi kushindwa kusafiri.


Katika hatua za kuondoa hayo matatizo, barabara ya kutoka Mwandiga hadi Manyovu (boda ya Burundi na TZ) inajengwa kwa kiwango cha lami na inakaribia au imefikia asilimia 50.


Barabara nyingine nayo inaendelera kutoka maeneo hayo ya Mwandiga kwenda hadi Kidahwe ambapo barabara ya Kaulu inaachana na barabara ya Uvinza. Tunaomba serikali ijitahidi kukamilisha hata kufika Nyakanazi ili kurahisisha maisha japo kama sehemu nyingine.

Kibaya katika hilo la barabara ni kwamba hawa Wachina hawatengenezi barabara ndogo za pembeni “Diversion” na wadau wanapata shida sana huku kwani sehemu nyingi wanazojenga tope ni la kutumbukia na hata mara nyingine hata Land Cruisers zinakwama.

Sasa Hiace itakuwaje? Halafu wana kiburi na hawasaidii watu kukwamua magari yao japo makosa ni ya kwao. Sasa sijui hawa wasimamizi hawalioni hilo au ni vp?

Manyovu ni kilomita kama 60 tu lakini watu mara nyingine wanasafiri siku mbili bila kufika. Hivi mikataba ya wajenzi wa barabara haijumuishi diversion?

Kwa upande mwingine Kigoma ni sehemu nzuri sana kwani mambo ya vyakula ni muswano. Wakulima hawaumizi kichwa sana kwani hata kulima nyanya au kabeji si lazima ulime pembeni yam to. 
© jsqure.com | Wednesday, March 10, 2010
GUD NYUUUUUZ: HUDUMA YAUMEME YAREJEA ZENJ

Na Ripota wetu, Zenji
Baada ya wananchi wa zanzibar kukaa kizani kwa kipindi cha miezi mitatu(10/12/2009 - 09/03/2010),huduma ya umeme imerejea katika hali yake ya kawaida kwa takriban maeneo mengi ya kisiwa isipokuwa baadhi ya sehemu za Migombani.Kukosena kwa huduma hii kulisababisha budget kukaza mno kutokana na kupanda kwa kasi ya ajabu bei ya bidhaa mbalimbali na mahitaji mengine ya kila siku. Licha ya ukosefu wa huduma hii,lakini baadhi ya kinamama wamesema ilileta faraja kwa kiasi fulani.
Wengi waliozoea kuwa nje ya nyumba zao kwa kisingizio cha kucheza karata au kuangalia big match kama ya WIGAN V/S LIVERPOOL na nyenginezo walikuwa wakirudi mapema mno na wengine kulala mapema kama wanafunzi wa chekechea.

Kwa ujumla hali ni shwari ila wanachi wengi bado wamekuwa katika wasiwasi mkubwa kuwa huenda hali ikarejea tena muda wowote kwani waya unaotumika sasa ni uleule ambao umeelezwa kuwa muda wake wa matumizi umekwisha kitambo.


Hata hivyo uchunguzi wa Ripota huyu umebaini kwamba hakuna haja ya wasiwasi kwani mambo sasa ni shwari hadi itapotangazwa vinginevyo.
 
© jsqure.com | Wednesday, March 10, 2010
kwa wadau wa dallas na vitongoji vyake
SEMINA YA NENO LA MUNGU
UMOJA CHURCH
Dallas, TX.
Rev. Yohana Maginga

Kwa niaba ya Kanisa la Umoja, ninapenda kukukaribisha kuhudhuria kwenye semina ya neno la Mungu itakayoongozwa na Mch. Yohana Maginga, wa kanisa la Christian Missions Church – Birmingham Alabama.

Semina hii itafanyika katika kanisa la Umoja Church
Jumamosi March 13, kuanzia saa 11 Jioni na Jumapili March 14 kuanzia saa 12 jioni.

Tafadhali wasiliana na Uongozi wa Kanisa kwa maelezo zaidi.

214 554 7381 au 682 552 5402

WOTE MNAKARIBISHWA!!!

UMOJA CHURCH
12727 HILLCREST RD
DALLAS TX 75230

“ …LET THE WEAK SAY, I AM STRONG.” (JOEL 3:10)
 
© Michuzi | Wednesday, March 10, 2010 | Permalink | Mtumie Rafiki Yako | Maoni 0
arsenal outshines portoc fc with a 5-0 win last night
Nicklas Bendtner, left, and Samir Nasri
produced fine displays at the Emirates
Nicklas Bendtner struck a hat-trick as Arsenal outclassed Porto to overturn a first-leg deficit with ease and clinch a place in the last eight of the Champions League.

Bendtner - heavily criticised after a succession of misses in Saturday's win against Burnley - scored twice in the first half to wipe out the 2-1 lead Porto were protecting from the first game in Portugal.

Andrey Arshavin was instrumental in both goals as Bendtner added the final flourishes to Arsenal's flowing attacking moves that enabled them to take control almost instantly.
Read more from BBC
 
© jsqure.com| Wednesday, March 10, 2010
dili toka marekani
Nafasi ya Biashara

Tunapenda kuwatangazia wa-Tanzania wafanyabiashara na wanaopenda kufanya biashara kwamba kuna nafasi za kushirikiana katika biashara kati ya USA na Tanzania.

Tunakaribisha wale ambao wangependa kufanya biashara kutuandikia ili tuweze kuweka makubaliano.

Biashara itakuwa inalenga zaidi katika ku export electronics, nguo, vipodozi, jewelry, accesories na bidhaa nyinginezo kutoka USA.

Tunakaribisha wafanyabiashara kutoka mikoa yote ya Tanzania na sio Dar es Salaam peke yake. Wafanyabiashara watakaoteuliwa watajulishwa na baadhi ya wafanyabiashara walio Tanzania ambao tayari wameanza uhusiano nasi kwa lengo la kubadilishana mawazo.

Tutashukuru kupata mawasiliano kutoka kwa wale walio serious tu ili tusipotezeane muda .

Kila la heri katika shughuli zenu.

Wasiliana nasi kupitia:

tztrader@gmail.com
 
© jsqure.com | Wednesday, March 10, 2010
LIVE concert Masai Camp, Arusha, Pandeiro Repique Duo, Thursday 11/03,

Experience two of the best singers in Tanzania together with two of the best percussionists from Rio de Janeiro, Brazil, LIVE on tour in Tanzania.

Panderiro Repique Duo (Brazil) + Carola Kinasha (TZ) + Ashimba (TZ) - Tanzanian Tour March 2010

First concert on the tour is:
Thursday the 11th of march, 20:00
Masai Camp, Arusha
TSH 5000 only.

Please forward if you know anybody in the Arusha/Moshi area who could be interested in live concerts. They don't want to miss this one!!!

Thanks.

Presented by Maisha Music & The Brazilian Embassy
Organized by Alliance Francaise Arusha & Masai Camp
--
www.maishamusic.com
www.myspace.com/maishamusictz
www.youtube.com/maishamusictz
www.twitter.com/maishamusictz

www.facebook.com/group.php?gid=74932459086
 
© jsqure.com | Wednesday, March 10, 2010
zanzibar minister Asha Abdullah Juma attends UN sessions in News York
The Zanzibar Minister For Women, Children and Gender Ms. ASha Abdullah Juma attends the United Nations Sessions of Commission for the status of women in News York

The Zanzibar Minister for Women, Children and Gender Ms. Asha Abdullah Juma addresses a meeting on Strategies to reduce maternal mortarity in rural communities organised by Permanent Mission of Tanzania and UN NGO committee and UNICEF Committee on girls in New YOrk
Minister Asha Abdullah Juma flanked by Dr and Mrs Williams of the Ahead NGO and some of the participants during the event

 
© jsqure | Wednesday, March 10, 2010
shime wana masaera
Michelle Roy, an Engineer with EWB USA surveying the Masaera Irrigation Canal in Kilema Moshi Rural District.The Masaera Residents in cooperation with EWB-USA Valparaiso fixing the gates at juction 2 of the Masaera Irrigation canal in Moshi rural district
Masaera Women carrying stones to repair the ir irrigation canal with the assistance of Engineers without Borders, USA
Engineers without Borders of the USA Valparaiso chapter concluding the surveying of the canal at junction one of the Masaera Irrigation canal. The rehabilitation program is slated to last five years.
Halmashauri ya Wilaya ya Moshi Vijijini
Kijiji cha Masaera,
Kamati ya Maji ya Kijiji.
TANGAZOKutoka kwa: Mratibu wa Ukarabati wa Mfereji wa Masaera
Kwa: WAMASAERA WOTE
Wahandisi Wasio na Mipaka kutoka Chuo Kikuu cha Valparaiso, Marekani {Engineers Without Borders -USA, Valparaiso University} ambao wanashirikiana na wanakijiji katika kukarabati mfereji wa Masaera wameshafanya yafuatayo:
1. Wameshirikiana na wanakiji kukarabati maeneo yaliyoharibika kwa kutoa vifaa na ufundi.2. Wameshiriki kuweka geti katika chanzo
3. Wanaendelea kushiriki katika kuweka vibanio katika kigawe cha pili kwa simony mikaeli temu na mianzini kwa Marseli Sandi.
4. Wamesaidia vifaa vya thamani ya shs 600,000 [laki sita] paa la jiko la shule ya msingi ya Mandaka mazoezi. Paa limeshawekwa na mafundi seremala wa Masaera bila kulipwa [yaani kwa kujitolea]
6. Watakutana na wanakijiji wote Jumanne sokoni Kiano, mchana saa nane, kwa marejesho na kuagana.
7. Wataondoka Jumatano asubuhi.

Canute W Temu,
Mwenyekiti wa Kamati ya Maji Kijiji na
Mratibu wa Ukarabati wa Mfereji.
Masaera


 
© jsqure | Wednesday, March 10, 2010
UDSM GATES DESIGN COMPETITION

Topic: “The 50th Anniversary of the UDSM”

Prize: Tsh 1,000,000/= for the Winning Design

The University of Dar es salaam will be celebrating its 50th Anniversary in October 2011 and preparations for the occasion are underway. The Directorate of Public Service will sponsor a contest for the best design of UDSM gates as part of the 50th Anniversary of the University of Dar es Salaam.

A proposal has been put forward to design and construct state of the art gates for the two main entrances to the university at Ardhi and Maji sides and one minor entrance at Changanyikeni end.

The competition is one of the means of getting the university community, alumni and the general public actively involved in seeing their oldest institution through the year of celebration. The design should highlight the UDSM emblem and 50th Anniversary.

Gates Specifications:

Entries submitted by the contestants should at least meet the following requirements:

Highlight the mission and vision of UDSM
Pursue initiative and inspiration, and fully embody the spirit of the university.
Embody the emblem of the university “Hekima ni Uhuru” in a proper way.
Stress application and vogue and advocate originality.
Consider comprehensively factors such as craft, function, and region.

Call for unlimited art style.
Gates are to allow passage of all kinds of vehicles.
Services associated with security to be included.
Entrant should consider that the pillars of the gates will last for 100 years or so and that UDSM has its origin in 1961, the year of our independence

Submission requirements:
A copy of A3 (420mm×297mm) colored drawing should be handed in for every entry. There is no need to bind up the entry, but don’t fold it. The submitted colorful effect pictures should reflect the three-dimensional perspective diagram and the three-view diagram of the entry, where necessary. Please mark or describe the pictures with the necessary size, craft and material.
Contestants should also submit a “Promise Letter of Intellectual Property Transfer” for their entries.
Contestants should also submit contact details on a separate sheet of paper.
Eligibility requirements:

Open to the public
Deadline: 31st March 2010
Contacts: The Secretariat UDSM 50 Years Anniversary
Directorate of Public Service (DPS)
First Floor Rm. 104 UDBS Building

50years@udsm.ac.tz
 
© jsqure | Wednesday, March 10, 2010
chonde chonde wadau, msaada tutani...

Ankal,

Naitwa Peter Mtemekele (pichani). Mimi ni Mtanzania mlemavu wa Miguu, niliyezaliwa miaka takribani 46 iliyopita. Elimu yangu ni ya kidato cha sita, niliyohitimu katika Shule ya Sekondari Mzumbe mwa 1990.

Kutokana na sababu zisizozuilika sikufanikiwa kupata kazi wala masomo zaidi hadi sasa. Hata hivyo, ninaifahamu vizuri computer (haswa kwa kazi za kiofisi).

Kutokana na kukosekana huko kwa kazi, maisha yangu kwa jumla yamekuwa ni yakubahatisha na yasiyo na “future” nzuri. Ufupi ni kwamba naishi kwa kutegemea zaidi marafiki zangu wa karibu ambao kwa kweli ni lazima nikiri kwamba bila wao pengine kwa sasa hata haya ninayoyaandika yasingekuwepo kwani ni dhahiri kabisa kwamba nisingekuwepo duniani.

Msukumo wa kuyaandika haya unaletwa na ukweli kwamba nina binti yangu anayesoma kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari iitwayo Iwemba katika Kata ya Kidodi Wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Ukweli ni kwamba binti huyu anasoma katika mazingira magumu sana kwani ninashindwa kumgharimia mahitaji muhimu ili asome katika mazingira takiwa.

Kama hiyo haitoshi imefika mahala hata mimi mwenyewe nashindwa kumudu mahitaji yangu muhimu kama vile kodi ya chumba nilichopanga, chakula na matibabu pale inapotokea mimi mwenyewe kuumwa ama vitegemezi vyangu.

Niliwahi kutolewa kwenye gazeti la Uwazi Toleo Na. 621 nikiomba jamii yenye mapenzi mema inisaidie kuondokana na kadhia hii na kwa bahati nzuri wapo baadhi ya watu walinipigia simu wakinishauri nifungue Bank Account.

Hivyo nimefungua tayari Akiba Commercial Bank, Kariakoo Branch, Account No. 5803938092. Hata hivyo, nilishauriwa kwanza nitolewe tena kwenye gazeti nikionyesha Bank Account Number. Nikawasiliana na jamaa wa Uwazi ili wanitoe tena wakionyesha namba hiyo, lakini hadi leo wamekuwa wakiniahidi kunitoa tena lakini kutokana na mtiririko wa foleni zamu yangu haijafikia kwa maana hiyo naomba unitoe humu wakati zamu yangu kwa hawa jamaa wa Uwazi itakapofika.

Kwa heshima na taadhima, naleta kwako maelezo haya mafupi ili uweze kunisaidia kunirusha kwenye “Blog ya Jamii”, kama nilivyoeleza hapo awali, ili jamii yenye mapenzi mema iweze kunisaidia kuondokana na kadhia hii.

Mimi computer ninaifahamu hivyo kama nikiwezeshwa kufungua Secretarial Services yangu nitakuwa nimekombolewa vya kutosha ili nisiendelee tena kuwa tegemezi kwa jamii inayonizunguuka, kwani mimi mwenyewe naamini fika kwamba itafika mahala hata hawa wanaonipa misaada midogo midogo wataelemewa na majukumu yao na kushindwa tena kunisaidia; na hapo ndipo itakapokuwa “the end of me” – ukiona mtu mzima analia, ujue maji yamemfika shingoni.

Mungu akutangulie kwa hili.

Peter M. Mtemekele,
P.O. Box 72718,
Dar es Salaam.
Mobile: 0714 999837

 
© jsqure | Wednesday, March 10, 2010
Tuesday, March 9, 2010
semina ya kilimanjaro tanzania music awards yavunja rekodi kwa mahudhurio ya nyota wa muziki
Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro ambao ndio wadhamini wakuu wa Tanzania Music Awards, George Kavishe (pili shoto) akiwa na prezidaa wa Ngwasuma Nyoshi el Sadaat, King Kikii na Matei Super Minofu kwenye mnuso wa kumalizia semina elekezi ya wanamuziki iliyoandaliwa ili kuwekana sawa juu ya mchakato wa kupata wanamuziki bora wa 2009. Nyota kibao wa muziki walimiminika kwenye semina hiyo iliyofanyika ukumbi wa Paradise City hotel jijini Dar na wote waliridhika kwa jinsi mchakato huo shirikishi ulivyoandaliwa
furaha ilitawala nyota walikutana: hapa shoto ni Matonya akiwa
na Taasis Masela wa wazee wa masauti Akudo Impact.
Banza Stone mwana wa Masanja akiteta na Lwiza Mbuttu

Toka shoto ni Jay More, Mr. Ebbo na Hussein Machozi
Bwana mkubwa King Kikii akiwa na Banza Stone na Kalala jr (shoto)
Gwiji wa taarabu Sabah Muchacho (shoto)
akibadilishana mawazo na Ras Inno Nganyagwa na Bizman
Kila mtu alitaka picha na Bwana Mkubwa King Kikii. Toka shoto ni Mheshimiwa Temba, Banza Stone, Kalala jr, Wanne Star, Jose Mara na Profesa J wa Mitulinga
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL David Minja (shoto, chini)
akila pozi na baadhi ya nyota wa muziki waliohudhuria semina hiyo

Picha ya pamoja ya baadhi ya wanamuziki hao
toka shoto ni Lwiza Mbuttu, Lady JD na Keisha.
anayekatiza nyuma yao ni Ras Nas
Mchanganyiko wa nyota wa muziki kwenye semina hiyo
Toka shoto ni Mwinyi, Lady JD, Fid Q, Jaffarai na Mchizi Mox
Ras Nas akila pozi na Masoud Kipanya aliyekuwa MC (shoto) na Nyoshi el Saadat
ankal akiwa na Bitchuka, Matei Minofu, Ras Nas na King Kikii
Ras Nas akiwa na AY na Inspekta Haroun (kati)
Nyota hao wakibugujika baada ya picha ya pamoja
George Kavishe akipozi na nyota hao
ni furaha, vicheko na maelewano kwa kwenda mbele
 
© jsqure.com | Tuesday, March 09, 2010
semina ya kilimanjaro tanzania music awards
Ras Nas toka Norway (shoto) alikuwepo kuwakilisha wanamuziki wa Kitanzania Ugahibuni. Mada aliyotoa ya kudai wanamuziki walio Diaspora kukumbukwa kwenye tuzo hizi ilikuna wengi na waandaaji walitoa ahadi ya kuliangalia swala hilo kwa uzito unaostahili
Meneja wa Kilimanjaro lager George Kavishe akifafanua jambo wakati wa semina elekezi ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards iliyofanyika leo ukumbi wa Paradise City hotel jijini Dar na kuhudhuriwa na mamia ya nyota wa muziki nchini. Hii ilikuwa ni semina ya kuwekana sawa ya jinsi mchakato wa kupata wanamuziki bora wa 2009 utavyoenda

wataalamu wa Deloitte Touche ambao watasimamia kura za kupata wanamuziki bora
Afisa wa Baraza la Sanaa (BASATA) Angelo Luhala

akijibu hoja na kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa

wanamuziki wa bendi mbali mbali walikuwepo. Hapo mbele toka shoto ni Jose Mara wa Ngwasuma akifuatiwa na Khalid Chokoraa na Kalala jr wote wa Twanga Pepeta

Toka shoto mbele ni Lwiza Mbutu wa Twanga Pepeta, Mheshimiwa Temba na Chege wa TMK. Nyuma kuna Hussein Machozi, mdau na Profesa J.

Toka kulia ni Mr. Ebbo, Mkoloni, mdau, Mwana FA, AY, Master J na mdau

Toka shoto ni King Kikii, Sabah Muchacho, Matei Super Minofu na Hassan Rehani Bitchuka

Taasis Maela wa Akudo Impact 'Wazee wa Masauti' (kulia) na wadau wengine

 
© jsqure | Tuesday, March 09, 2010
March 10, 2010

eXTReMe Tracker

No comments: