Sunday, April 10, 2011

Naweza tatua matatizo ya watanzania asema Nd.James A.obedi

Nd.James A.Obedi
Tanzania! umeme mgao,maji mgao,barabara finyu,elimu ya kusua sua,malaria na magonjwa mengine hayanatiba mbadala,vumbi kilamahali,ajira ya tabu,migomo kibao,maandamano ya "amani" kibao,vijijini watu hawapati huduma,wamasai wamegeuka walizi badala ya ufugaji,watu wavivu,na wanaojishughulisha wanakandamizwa,nchi yangu ni dampo la bidhaa mbovu za wachina zinazotuletea ajali,halafu tukienda hospitali tunapewa na zawadi za mikasi tumboni!
nataka niibadilishe Tanzania kabisa.
1.kuleta ajira sana kwa watu wote walio soma na wasio soma
2.kuhakikisha barabara zinatosheleza wanachi waliopo mjini na vijijini
3.wanavyuo wote kuwasidia kupata kazi kabla ya kumaliza masomo
4.kuleta viwanda nchini ili ajira zipatikane kwa wingi
5.kuikuza bandari yetu iwe kubwa ili mizigo yote ya east africa ipitie hapo
6.kuweka mitambo mipya ya uzalishaju umeme...hili la kwanza....umeme utauzwa uniti moja kwa sh 50 kwanza hili naliweza hata sasa kama serikali iliyopo madarakani ikiniruhusu na kushirikiana nami kulikamilisha yaani miezi sita tu .
7.nitapunguza bei ya usafiri kwa kuleta magari ya sio tumia mafuta.daladala zitakua mia 300 kwa siku nzima unapanda pasi lolote mjini
8.shuleni huduma zitakua namba moja....waalimu mishahara ili iliyowafanya wagome pamoja na wafanyakazi wote watapata ili wafanye kazi vyema..hili halina mjadala
9.wachimba madini watapata nafasi ya kusikilizwa hoja zao wote.mererani na kwingine kote
nahitaji maoni yenu na ni vitugani mnataka nivifanye kama kiongozi wenu mtarajiwa

kipindi kijacho nagombea urais.wangapi mnaniunga mkono!

anzeni na hii hapa kupata kazi na mengine mengi. hii itakua hewani rasmi tarehe 5/5/2011 saa 7 kamili  asubuhi/
www.bonglob.com

2 comments:

ndongosi site said...

we kijana wewe,inapendeza lakini laiti kama viongozi wa serikali wangekuwa na mawazo ya kufikiria zaidi kuhusiana na kuandaa maisha bora kwa vizazi vijavyo mambo yangeweza kubadilika tanzania, lakini kama huu utaratibu wa kujirundikia mali mwishowe unakufa na kuziacha ukiendelea tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu kwa mataifa yalio endelea so keep it MR. BONGODAR

Alphonce Nazarius said...

kaka mawazo mazuri xana mi ntakuunga mkono nmechoka na hii serikal haiyawazi haya kabisa